Watu
wengi hutoa machozi pale wanapoachwa na wapenzi wao, Mpenzi msomaji wa
blogu hii, leo nitakueleza kuhusiana na chozi la
penzi: Unajua wataalamu wa mambo ya mapenzi wanasema kuwa Mwanamke ni
mwepesi sana kutoa machozi pindi anapoachwa na mpenzi wake hii inatokana
na mwanamke kuumbwa na moyo wa kuwa na penzi la rohoni.Mwanaume kaumbwa kwa penzi la fikra kama wanavyotufahamisha wataalamu wa mapenzi hii ndiyo maana wanaume wengi ni vigumu sana kulia pale wanapoachwa na wapenzi wao japo wapo wanaolia lakini sio wengi japokuwa huwa wanaumia sana rohoni lakini kutokana na elementi walizoumbwa nazo inakuwa vigumu kutoa machozi. "Nakusihi uendelee kuburudika zaidi na blogu yako usisahau kutoa maoni"
0 comments:
Post a Comment