-

-

-

-

-

Habari Mpya

Wednesday 8 October 2014

JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE YA KUONGEZA NA KUNENEPESHA MWILI.





Lishe  ya  kuongeza  na  kunenepesha  mwili ni  lishe  maalumu  kwa  ajili  ya   mtu  anaye  taka  kuongeza  ama  kunenepesha  mwili  wake kwa  kutumia  lishe  pekee  bila  kulazimika  kutumia  dawa  za  kuongeza  ukubwa  wa  maumbile  zenye  kemikali  na  side  effects  mbalimbali. 
Lishe  huongeza  na  kunenepesha  maeneo  mbalimbali  ya  mwili  wa  mtumiaji  na  kumuongezea  mvuto wake.
Ifuatayo  ni  namna   na  jinsi  ya  kuandaa  na  kutayarisha  lishe ya  kuongeza  na  kunenepesha  mwili.


MAHITAJI :
i.                 Dawa   Ya  Lishe.
ii.                Asali  ya  tende  lita  moja
iii.              Vijiko  viwili  vikubwa   vya  tangawizi  ya  iliyo  sagwa.
iv.             Unga  wa  lishe.
v.               Maziwa   fresh  lita  moja.


JINSI   YA   KUTENGENEZA   ASALI   YA   TENDE .
Chukua  robo  ya  tende, kasha  changanya  na  lita  moja  ya  maji, halafu  iache  usiku  kucha. Ikifika  asubuhi  chuja, makapi  weka  pembeni  upate  juisi  yako.


MATAYARISHO   YA   LISHE   YA  KUONGEZA  MWILI.
Chukua   lita  moja  ya  asali  ya  tende, changanya  na   lita  moja  ya  maziwa  fresh, pamoja  na  vijiko   viwili  vikubwa  vya   tangawizi  iliyo  sagwa,  halafu  ongeza  kijiko  kimoja  kikubwa  cha  DAWA LISHE  yako, kisha  koroga  pamoja  na  uji  wa  unga  wa lishe  hadi  utakapo  iva.  Uji  wako  ukiiva, ipua  na  u uhifadhi  katika  chupa.
MATUMIZI:
Tumia   nusu  lita  ya  lishe  yako  mara  mbili  kwa  siku.  Nusu  lita  asubuhi  na  nusu  lita  jioni. Utafanya  hivyo  kwa  muda   wa   siku  thelathini.
MABADILIKO  :
Pamoja  na  kwamba, lishe  hii  inatumika  kwa  muda  wa  mwezi  mzima  lakini  mabadiliko  yanaanza  kuonekana  ndani  ya  siku  kumi  angu  mtu  aanze  kutumia  lishe  hii.  Mabadiliko  huendelea  kuonekana  kadri  mtu  anavyo  zidi  kutumia  lishe  yake.
NB :
·       Kama  utataka  kuongeza  zaidi, unaweza  kuendelea  na  dozi  yako  hata  baada  ya  kumalizika  kwa  siku  thelathini  mpaka  hapo  utakapo  fikia kiwango  utakacho  ridhika  nacho.
·       Kama   unataka  pia  kunawirisha  na  ngozi  yako, unaweza  kuongeza  na  robo  kilo  ya  karoti  iliyo  sagwa  katika  mchanganyiko  wako. Baada  ya  siku  thelathini  za  dozi  yako, pamoja na  kuwa  umetengeneza  shape, lakini  pia  utakuwa  na  ngozi  iliyo  nawiri.
·        
Kwa   mahitaji  ya  dawa  ya  lishe  ya  kutengeneza  shape  ya  mwili, wasiliana   na  Neema  Herbalist  kwa  simu  0766538384
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE YA KUONGEZA NA KUNENEPESHA MWILI. Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top