
WAKATI mwingine huwa unajisikia kumchoka mpenzi wako, kuchukua jukumu la kumuacha wako mpenzi, kumkaripia wako mpenzi, kumuona kama anakasoro fulani hivi, kumuona hakufai au hafai kuishi na wewe ikiwa pamoja na kutamani kuoa au kutafuta mwingine mpenzi.
Yote
haya mambo huwa yanatokea kwa binadamu wa jinsia zote. Sasa nakuuliza
kwanini unafikia hatua ya kufanya mambo kama hayo? Kama kweli uliamua
kumpenda mpenzi wako ya nini tena kumchukia na kumuona hakufai?
Watalaam
wa masuala ya mapenzi wanabainisha kuwa kumchukia mpenzi kunasababishwa
na vitu vingi sana, ambapo mwanasaikolojia na mtaalam wa masuala ya
love Haliet Julliu alifafanua katika kitabu chake cha "Bad Love - 2008" kuwa jambo la kwanza ambalo linamfanya mpenzi wako kukuchukia ni:
i)Uchufu wa mwili wako pia unapokuwa mchafu ndio unaongeza hatari ya kuchukiwa na mpenzi wako.
ii)Uchafu wa nyumba au chumba ambacho unakaa na mpenzi wako hasa hili linawahusu mwanawake, jambo hili huwa linawakera wanaume.
iii)
Kupata mpenzi nje ya ndoa pia kunachakia mpenzi wako kukuchoka na
kukuona hufai kisa kapata wa kumhodomola hasa akimpata anayejua mapenzi.
iv)
Wewe mwenyewe kuwa mkali pindi unapomuona mpenzi wako nako kunachangia
kumfanya atafute mwingine ambaye ni mpole ili apate kuliwazika zaidi
kimahaba na,
v) Kuwa na wasiwasi wa kusalitiwa na
mpenzi wako jambo ambalo huwa linazua mitafaruku kwa wapenzi na
kusababisha kuchukizana na pengine kupelekea kuachana kabisa.
Kwahiyo
nawashauri sana ndugu zangu mjitahidi kuepuka mambo kama haya ili
kudumisha penzi zaidi.Sasa tujadiliane kuhusu suala hili na pia napenda
kuuliza Je, penzi ni nini?
0 comments:
Post a Comment