-

-

-

-

-

Habari Mpya

Thursday, 7 August 2014

Njia tano bomba kwa afya yako

1.            Apple moja kwa siku - hukuweka mbali na daktari.
2.           Jani la mrihani (tulsi leaf) ukitumia kwa siku hukuweka mbali na saratani
3.           Limao kwa siku -hukuweka mbali na unene
4.           Kikombe cha maziwa kwa siku -hakuna tatizo la mifupa
5.           Lita tatu za maji kwa siku- hakuna magonjwa.
afyatele
Apple
Mrihani(tulsi leaf)

Limao

Glasi ya maziwa
Na, Haiba-Urembo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Njia tano bomba kwa afya yako Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top