-

-

-

-

-

Habari Mpya

Thursday, 7 August 2014

UNAIJUA KISA CHA MAZUZU KWA ZUZU...????

afyatele
Mwanamke Zuzu alikuwa na mchumba wake Zuzu,
baadaye uhusiano ulivunjika. 

Zuzu mwanaume
alikuwa akimsumbua sana
kumpigia na km2mia sms 

yule mwanamke Zuzu
kila siku mpaka mwanamke Zuzu akawa anachukia.
Zuzu mwanamke akaamua abadili SimCard,
alipoweka ile mpya tu akam2mia
sms Zuzu mwanaume

''Nishabadilisha namba hutonipata tena hasidi wewe''... 
yule Zuzu mwanaume akamjibu: "Nitahakikisha naitafuta hiyo
namba yako mpya mpaka naipata...utanikoma


NYINGINE TENA HIIIYOOOO
...........mazuzu fulani walienda mjini kumtembelea ndugu baada ya kufika huko wakapewa soda

zuzu mmoja baada kumaliza kunywa soda akachukua kizibo wakati wanarudi kwao kijijini akamwambia mwinzie "nimechukua mbegu ya soda ya kwenda kupanda"
 




NYINGINE TENA HIIIYOOOO

JE? HUU MSALA UNGEUSOVU VIPI!

Demu wako kaenda kukutambulisha kwao kufika getini unakutana na dada yake ambaye ni demu wako wa zamani kidogo unamwona kaka yake ambaye ulipigana nae kwasababu alikufumania na demu wake ulipoangalia ndani ukamwona mama yake ambaye ni sugar mumy wako na ndo aliokununulia gari ambalo unatamba nalo kabla hujajua la kufanya baba yake anatokea ambae ni wakili alie kutetea katika kesi yako ya ubakaji

Je? Ungefanyaje?
 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: UNAIJUA KISA CHA MAZUZU KWA ZUZU...???? Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top