Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe kileleni kwa kujichua uume hadi kumwaga mbegu za kiume. Uchunguzi unaonyesha katika watu wa jinsia ya kiume kumi wenye umri wa kuanzia miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati yao wamewahi kupiga punyeto katika kipindi fulani cha maisha yao, na wawili kati yao wanajihusisha na upigaji punyeto. Uzoefu unaonyesha, asilimia kubwa ya wanaume wanao piga punyeto huanza katika umri wa kubalehe ( miaka 14-16 ), wengine huachana na tabia hiyo mara baada ya kupata wapenzi wa kike ama kuoa na wengine huendelea na tabia hiyo hata baada ya kuoa .
Zipo sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa katika mazingira yasiyokuwa na wanawake ( mfano katika shule za sekondari za bweni za wavulana tu ), kujiepusha na hatari ya kupata maambukizi ya v.v.u nakadhalika
ATHARI ZA PUNYETO KWA WAVULANA.
Punyeto ina athari nyingi na kubwa sana kwa wanaume wanao jihusisha nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari moja kubwa kati ya nyingi. Athari hii si nyingine bali na KUUA NGUVU ZA KIUME. Mwanaume anayepiga punyeto hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa inayo fanya uume usimame. Mwisho wa siku uume hulegea na kusinyaa, na kukosa nguvu kabisa na hatimaye mhusika kuwa khanithi. Uchunguzi unaoonyesha, kuna idadi kubwa sana ya wanaume wanao sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kama matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu. Athari za mwanaume kutokuwa na nguvu za kiume, nadhani zinajulikana, ila kwa faida ya wote tutazizungumzia kwa kina siku za mbele, lakini kwa ufupi ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi wa uume wake kwa sababu ya kupiga punyeto.
MUNGU HAPENDI PUNYETO : ( MIONGONI MWA WANANZUONI WA MASOMO YA BIBLIA DHAMBI YA KUPIGA PUNYETO HUJULIKANA KAMA ONANISM )
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, upigaji punyeto ni moja kati ya matendo yanayo muudhi Mwenyezi Mungu, kwa sababu yanapigana na utaratibu aliouweka . Kwenye kitabu cha MWANZO 38:9, Onan mwana wa Yuda aliagizwa na baba yake ( Yuda ) kwenda kumjua mke wa kaka yake ( Onan ) ili aweze kumzalia watoto. ( Kwa mujibu wa mila na desturi za kiyahudi wakati huo, kaka anapofariki bila kucaha mtoto, ndugu wa kiume wa marehemu hutakiwa kwenda kumuoa mjane aliye achwa na kaka yake, na watoto watakao zaliwa watabeba jina la marehemu kaka yake..., aina hii ya ndoa hujulikana kama LEVIRATE MARRIAGE )Biblia inasema, Onan hakutaka kumpa mimba mjane wa kaka yake ilihali akijua watoto watakao zaliwa hawatakuwa warithi wake, hivyo basi kila mara alipokutana kimwili na mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu zake pembeni. Biblia inasema katika kitabu kile cha Mwanzo 38: 10 "
" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "
Umeona! Kumbe basi
adhabu ya kiroho
ya tendo la
masturbation ni “umauti!”. Umauti huo
unaweza usiwe kama
ulio mpata Onan, ila
unaweza kuja katika
sura tofauti. Mfano kufa
kwa nguvu za kiume,
ni adhabu tosha
sana kwa mwanaume
yoyote yule duniani
na inaweza kuwa
kali kuliko hata
ile aliyopewa Onan.
DAWA YA ASILI
NA YA UHAKIKA
YA KUKUFANYA UACHE
KUFANYA PUNYETO.
Uzoefu unaonyesha,
mtu anayepiga punyeto, hata
kama ameathiriwa na
tatizo la punyeto
kwa kiwango gani, endapo
atafanikiwa kutopiga punyeto
kwa muda wa
siku arobaini mfululizo, mtu huyo
hatopiga tena punyeto
katika siku zote
za maisha yake
kwani tayari mtu
huyo atakuwa amerudia
katika hali yake
ya kuto kuwa
addicted tena na
upigaji punyeto, na atalichukia
kabisa hata jina
la tendo hilo
achilia mbali tendo
lenyewe.
UFANYE NINI ILI
USIPIGE PUNYETO KWA
MUDA WA SIKU
AROBAINI MFULULIZO!
Sio rahisi kwa
mtu aliyekuwa addicted
na punyeto kustahimili
kujizuia kupiga punyeto
kwa muda wa
siku arobaini mfululizo. Anaweza kujizuia
kupiga punyeto kwa
siku mbili lakini
baada ya hapo
ataendelea tena na
mchezo wako.
ATUMIE DAWA IPI?
PILIPILI
Pilipili inayo hitajika
hapa ni yoyote
ile ili mradi
iwe kali sana,
( Ila inayo
pendekezwa ni pilipili
mbuzi ama pilipili
kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa ).
MATUMIZI
Kwanza kabla ya
kujua matumizi ni vyema
ukatambua muda ambao
huwa unapiga punyeto
( Mara nyingi
huwa ni asubuhi
baada ya kuamka,wakati
wa kuoga ama
usiku kabla ya
kulala ).
Chukua pilipili zako, zipasulie kwenye
viganja vya vidole
vyako na kujipakaza
katika viganja vya
vidole vyako. Unaweza kutumia
pili moja kwa
kila kiganja, na kwa
kila muda ambao
huwa unapiga punyeto
lakini unaruhusiwa
kujipakaza zaidi ya
pilipili moja.
Ukishajipaka
pilipili kwenye viganja
vya vidole vyako, moja
kwa moja unakuwa
umekwisha jilazimisha kutokufanya
punyeto, kwa sababu ukipiga
punyeto kwa viganja
ambavyo vina pilipili
utawashwa sana wala
hautaweza kufurahia tendo
hilo.
JAMBO LA KUZINGATIA
: Hakikisha unakuwa na
walau pilipili mbili mpaka
nne kila unapokuwa
katika maeneo ambayo
yanaweza kukuchochea kufanya
punyeto.
UFANISI WA DAWA HII : Dawa
hii inawafaa wale
tu ambao wamedhamiria
kutoka mioyoni mwao
kuacha kufanya punyeto. Kwa
wale ambao hawajadhamiria haitaweza
kuwasaidia.
MWISHO,TUNAWATAKIA
KILA LA HERI
WATU WOTE WATAKAO
AMUA KUJARIBU KUTUMIA
NJIA HII KUACHANA
NA SUALA LA
UPIGAJI PUNYETO. TUTAFURAHI SANA ENDAPO
MTATUPA FEEDBACK BAADA
YA HIZO SIKU
AROBAINI TANGU MUANZE
KUFANYA ZOEZI HILI. MUNGU AWAPE NGUVU
NA AWABARIKI.
0 comments:
Post a Comment