Janga la kila
mwanamke ni strech marks au michirizi mwilini.. wengi wetu tunayapataga miguuni
mapajani mikononi na tumboni kiasi kwamba kuogelea ni shida..michirizi hii inasababishwa na ukuaji wa seli au
kunenepa na kukonda kwa mwili kwa ghafla. Mama mwenye mimba hupata sana hii michirizi
maana mwili wake una tengeneza seli kwa kasi sana..
Wengi tunatafuta
dawa na ziko bei juu na zingine hazisaidii vile vile unajikuta unatupa pesa tu/
basi leo tuone tutajisaidiaje bila gharama kuziondoa hii michirizi.. kuna
njia mbili ya kahawa na ya limao na tango.
Kahawa:
mbegu za kahawa zilizo kaangwa kiasi robo kikombe
Hand lotion
Twanga au saga
kahawa liiyo kaangwa ..
Ukisha twanga
nakupata ule unga uchanganye kwenye handlotion yako vizuuri kisha apply katika
eneo latukio..
Haina side
effect.. ipake mara mbili hadi tatu kwa siku.futa na kitambaa na maji vuguvugu
..mchanganyiko huu pia waweza utumia kama facial inaondoa ngozi kuzeeka au mikunjo ya ngozi
Pia usisahau
kunywa maji glasi 10 kila siku angalau ..
2.juisi ya
lemao na tango
Limao moja na
tango kipande kidogo
Chuja limao..kisha
changanya na kipande cha tango visage pamoja.
Paka eneo la
tukio kaa nayo dakika 10.kisha osha
Hii ni nzuri
pia kuondoa hata madoa usoni kwa wenye ngozi za mafuta unaweza ifanya na usoni pia.fanya hivi kila siku angalau mara mbili kwa
majibu ya haraka ..
Recipe no 1-cofee
Ground ¼ cup of coffee to a
find powder. Mix the coffee grounds into your favorite hand lotion. Rub this
mixture for one minute onto your stretch marks three times per day. Wipe the
lotion mixture off with a warm damp cloth.
Recipe no 2-Lemon Juice
Another simple ways to lessen
stretch marks is to use lemon juice. Lemon juice is naturally acidic which
helps heal and reduce stretch marks, skin injuries, acne,
and other scars.
·
Rub fresh lemon juice
gently onto the stretch marks using circular motions. Allow the lemon juice to
soak into your skin for at least 10 minutes before rinsing it off with warm
water.
· Another option is to mix equal quantities of cucumber juice and lemon juice and apply the mixture on the stretch marks.
0 comments:
Post a Comment