-

-

-

-

-

Habari Mpya

Wednesday 19 November 2014

vinywaji vinavyoongoza duniani kwa afya bora ya mwili wako......

BITS & PEACHES


Hii ni bidhaa  yenye Aloe vera  pamoja na matunda ya peaches yaliyoongezwa ili kuoongeza vitamini A ambayo ni antioxidant hivyo huondoa sumu za free radicals, husaidia kuboresha macho  kuona vizuri mchana na usiku na pia kuongeza ladha zaidi na hivyo inafaa kwa watoto.
Husaidia sana watoto kupata hamu ya kula  na kuwaepusha na maradhi mbalimbali
Vinywaji haviuzwi kutokana na ladha bali kulingana na faida zilizomo.
Bidhaa hii ina asilimia 90 ya aloe vera .
Kinywaji hiki kina sifa zote za Aloe vera gel.
Forever Aloe Bits N’ Peaches provides another great taste to enjoy with its 100% stabilized aloe vera gel and just a touch of natural peach flavor and peach concentrate. A taste sensation like no other, it contains pure chunks of aloe vera, bathed in the flavor of sun-ripened peaches.

For many centuries, people all around the world have used aloe vera for its health benefits. The addition of peaches provides carotenoids – valuable as antioxidants and a source of vitamin A. They are also essential for maintaining the proper function of the immune system.

Forever Aloe Bits N’ Peaches offers many healthful ingredients – all packed into a great-tasting drink. Pour over ice or mix with fruit juice, and enjoy the delightful taste of nature’s bounty any time of the day!
  • All The benefits of Forever Aloe Vera Gel plus peaches
  • Solid chunks of pure aloe vera
  • Refreshing, fruity taste – just like pure peach juice
  • Ideal for children
 Tsh. 43,656/-                              Call/whats up +255 712 479 905 or +255 766 129 766

FOREVER FREEDOM


Ni kinywaji chenye Aloe vera , Glucosamine Sulphate, chondroitin sulphate,MSM(methylsuphonyl methane), ascorbic acid(vitamin c) na tocopherol (vitamin E). Glucosamine Sulphate na chondroitin sulphate ni bidhaa zinazopatikana kwenye cartilage(kole jeupe linalotenganisha mifupa).
Zinasaidia kulainisha viungo ili  kuzuia maumivu ya kusuguana  kwa mifupa katika viungo , tatizo linalowasumbua wanawake wengi wenye umri mkubwa  kwa kuwa mwili unakuwa unashindwa kuzalisha  ute(synovial fluid) inayolainisha viungo.
Sulphur yetu ni organic sulphur na vitamin C inatokana na ladha halisi ya chungwa:
Faida: Husaidia mifupa isichakae na kurudisha majimaji yaliyopo  katikati  ya viungio ili kulainisha viungo na kuondoa maumivu na uvimbe. Hufaa pia kwa wanamichezo.

Forever Freedom has combined Aloe Vera with other substances that are helpful for the maintenance of proper joint function and mobility in a tasty, orange-flavored juice formula.

We’ve taken Glucosamine Sulfate and Chondroitin Sulfate - two naturally occurring elements that have been shown to help maintain healthy joint function and mobility - and married them with our stabilized Aloe Vera gel. To this, we’ve added vitamin C and MSM, a primary source of bio-available sulfur the body needs to maintain healthy connective tissues and joint function.

Glucosamine Sulfate and Chondroitin Sulfate are natural substances that help maintain the structure and health of cartilage, keeping this natural “shock absorber” well hydrated. They also help keep the lubricating fluid within the joint at the necessary viscosity to allow one surface to glide freely over another. As the body ages, it is less able to produce these natural elements of healthy cartilage which can then lead to “wear and tear” on the joints.

Forever Freedom provides the usually recommended amounts of Glucosamine Sulfate (1500mg), Chondroitin Sulfate (1200mg) plus 750mg of MSM and 250mg of Vitamin C per 4oz serving.

When combined, Glucosamine Sulfate, Chondroitin Sulfate,Vitamin C and MSM provide the first line of support for healthy joint function. Make Forever Freedom a practical and nutritious way to start your day! As with other FLP products, these ingredients are sourced natuarally and are considered to be exceptionally safe. Make Forever Freedom a practical and nutritious way to start your day!

  • Unique formulation available in an Aloe drink form, providing a practical and nutritious way to support joint health
  • Easier assimilation due to Aloe Vera carrier
  • Contains substances naturally occurring in joints
Tsh. 63,898/-                         Call/whats up +255 712 479 905 or +255 766 129 766 

ALOE BERRY NECTAR


Ni kinywaji chenye  Aloe vera aslimia 88, kina vitamini ,madini,amino acids na enzymes kama vilimo kwenye Aloe vera gel.
Pamoja na Aloe vera  yameongezwa matunda ya Apple na Cranberry yenye vitamin A, C na pectin  hivyo husaidia kusafisha na kuua bacteria na fangas kwenye mfumo wa kuondoa hivyo husaidia kusafisha na kuua bacteria na fangas  kwenye mfumo wa kuonda taka mwilini kama vile mafigo, kibofu cha mkojo(wakina baba wengi wanasumbuliwa na matatizo ya kuziba kibofu cha mkojo umri na wakina mama wengi pia wanasumbuliwa sana na UTI  ambayo  huwafanya misuli ya kuzuia mkojo kulegea ,mapafu, kusafisha maini na kuondoa sumu kwenye ngozi.
Forever Aloe Berry Nectar contains all of the goodness found in our Forever Aloe Vera Gel, plus the added benefits of cranberry and apple.

Besides their reputation as a cleanser for the urinary tract, cranberries provide a high content of vitamin C. They are also a natural source of healthful proanthocyanidins.

Apple juice contains many flavonoids as well as pectin.

You can drink Forever Aloe Berry Nectar with meals or alone. The delicious flavor is totally natural, prepared from a blend of fresh cranberries and sweet, mellow apples. Added fructose (a natural fruit sugar) sweetens it just enough to please both adults and children alike.
  • All the benefits of Forever Aloe Vera Gel with the sweet taste of cranberries
  • Contains healthful phytonutrients
  • Natural source of Vitamin C
.Tsh. 43,656/-      Call/whats up +255 712 479 905 or +255 766 129 766

ALOE VERA GEL

Ni uti wa mgongo na bidhaa ya kwanza kutengenezwa  na kampuni ya Forever Living.
Inatokana na gel ya katikati ya jani la Aloe vera. Bidhaa  hii imetengenezwa  kiumahiri  na mfumo wenye hati miliki uitwao ‘Stabilization Process’. Ni bidhaa ya kwanza kupewa mihuri  na International Aloe Science Council. Bidhaa hii ina virutubisho kama vitamin 12 ikiwemo B12, madini 20 , amini acid 18  na enzymes.
Kinywaji hiki cha asili  kinasaidia kuondoa sumu , kusafisha na kusaidia mmeng’enyo wa chakula, kuondoa vimbe,kuponya vidonda na kusaidia uponyaji wa maradhi kama arthritis, pressure, kisukari, vidonda tumbo , kukuongezea nguvu, kupunguza aleji mwilini na mengine mengi. Ina uwezo  wa kukaa miaka 5 kama hakijafunguliwa na mieazi 3 endapo kitafunguliwa na kuhifadhiwa  sehemu isiyo na joto kali.

Imagine slicing open an Aloe leaf and consuming the gel directly from the plant. Our Aloe Vera Gel is as close to the real thing as you can get.
The miraculous aloe leaf has been found to contain more than 200 compounds.   A product of our patented aloe stabilization process, our gel is favored by those looking to maintain a healthy digestive system and a natural energy level.
The first to receive certification by the International Aloe Science Council, this rich cocktail of pulp and liquid authenticates this product just as nature intended. Taken daily, either alone or mixed with pure fruit juice, it is one of the best health drinks available!
The power of aloe – from the inside out
• The first of its kind to be certified by the International Aloe Science Council
• Beneficial for maintaining a healthy digestive system
Tsh 43,656/-  
                      Call/whats up +255 712 479 905 or +255 766 129 766



FOREVER POMESTEEN POWER

 
Kinywaji hiki ni kizuri kwa kulinda afya kwa kuwa kina Anti-oxidants kwa wingi
Na ubora wa hali ya juu.
Kina XANTHENES kwa wingi hivyo ORAC (Oxygen radical absorbence capacity) iko juu sana na huzuia mwili kuathiriwa na sumu  ya free radicals zinazoleta maradhi ya kansa.
Ni mchanganyiko maalum wa vitu vitokanavyo na matunda ikijumuisha pomegranate-hii ina polyphenol antioxidants nyingi kuliko redwine, green tea, granberry au arrange juice , pia mna vitamin A,C na E kwa wingi vile vile mna iron, Pear , mangosteen(garcinia  mangastana. L), Raspberry, Blackberry ,Blueberry, Grape seeds.
Kunywa 30ml yenyewe au changanya na maji, Aloe vera gel au yoghurt(mtindi) au custard. Pia unaweza kugandisha kuwa ‘ice cubes’.
Faida: Ni muhimu kwa afya njema, kuondoa kansa, athari za mionzi, na kujisikia vizuri kwa ujumla.
There’s no disputing the fact that antioxidants are extremely vital to our health and well being. There is, however, much discussion today among nutritionists as to which fruit is the most powerful antioxidant, or which contains the most Xanthones or has the highest ORAC value rating. Forever Pomesteen Power has them all with a proprietary blend of fruit juices and extracts, including Pomegranate, Pear, Mangosteen, Raspberry, Blackberry, Blueberry and Grape Seed.

ORAC value (Oxygen Radical Absorbance Capacity) is an indicator of how well an antioxidant inhibits free radical damage. The ORAC value of fruits can vary greatly, even when testing the same fruit at different times after harvesting. What is important to know is that all of the ingredients of Forever Pomesteen Power are near the top of the list in ORAC value, especially Pomegranate and Mangosteen fruit.

Pomegranate juice has more polyphenol antioxidants than red wine, green tea, cranberry juice and orange juice. In addition, it is a good source of Vitamins C.

Mangosteen is a popular fruit in Asia. Its exquisite taste prompted Queen Victoria to declare it her favorite fruit, henceforth it has been referred to as the “Queen of Fruits!” Its ORAC value is very high, and it is rich in beneficial Xanthones. Xanthones are a family of naturally occurring nutritional compounds in fruits that are super-powerful antioxidants.

Experience the incredible power of antioxidants from Pomegranate, Mangosteen, and other exotic fruits with Forever Pomesteen Power!

• Super Antioxidant
• Unique blend of fruit juices and extracts
• Exotic flavor that everyone loves

Tsh.41,540/-                                        Call/whats up +255 712 479 905 or +255 766 129 766   

ALOE BLOSSOM HERBAL TEA


Ni chai ya pekee yenye blossom(maua ya njano yapatikanayo kwenye mkonge wa Aloe vera) iliyochanganywa  na viungo vingine na mimea 15 yenye calorie kidogo na kuboresha afya
Ina ladha ya kipee hata kama itanywewa ikiwa ya baridi. Ni kinywaji kizuri kabla ya kwenda kulala ambapo huondoa uchovu , kusafisha sumu mwilini , huleta utulivu mzuri  na afya kwa mwili . Hii ni chai isiyo na caffeine.
Aloe Blossom Herbal Tea is a natural blend of leaves, herbs and spices, specially prepared to provide an outstanding flavor and a rich aroma. Caffeine-free, it has been formulated to leave you feeling revitalized. Whether you drink it hot or prefer it iced, Aloe Blossom Herbal Tea has a great taste and is easy to prepare.

Refreshing cinnamon, orange peel and cloves impart a warm, fruity flavor, along with allspice and ginger to soothe. Combined with aloe blossoms from our own plantations, this zero calorie, refreshing tea is a great complement to your weight management program.
  • Zero Calories!
  • No caffeine
 Tsh. 30,209/-                             Call/whats up +255 712 479 905 or +255 766 129 766

ALOE 2 GO


Ni kinywaji chenye  mchanganyiko  wa Aloe vera gel na Pomesteen power kilichofungwa  pamoja kwenye mfumo ambao  ni rahisi kubeba. Ina sifa zote za aloe vera na pomesteen power.
Ina ongeza nguvu , kuongeza sana kinga ya mwili na ni antioxidant (inaondoa sumu ya free radicals).
You love the benefits of Forever Aloe Vera Gel. And you love the sweet, exotic taste and the antioxidant blast of Forever Pomesteen Power, which contains Pomegranate, Pear, Mangosteen, Raspberry, Blackberry, Blueberry and Grape Seed Extract. Forever Living Products has taken the best of both drinks and combined them into a single-serving, convenient foil pouch!

Forever Aloe2Go is ready to drink anytime, anywhere - at your desk, on the trail, in the car, on the go. Just grab a pouch, tear at the notch, and drink in the tasty benefits of these two nutritious drinks in one! Forever Aloe2Go can give you the great-tasting energy boost you need by providing your body with natural carbohydrates. By combining the refreshingly sweet flavor of the Mangosteen, (dubbed the”Queen of Fruits” for its exquisite taste) and Aloe Vera Gel, we have created the Ultimate Antioxidant Cocktail. Your immune system won’t know what’s keeping it in top form - but you will!

The Pomegranate has more antioxidants than blueberries, green tea or wine. The Mangosteen fruit has the highest content of xanthones found in any fruit. Some studies have shown that xanthones are even better than vitamins C and E for boosting the body’s immune system! Aloe Vera Gel provides natural support for the immune system because of its high content of polysaccharides and other natural immune enhancers.

With these results in mind - along with its delicious taste and convenient pouch - you’re going to want to make sure your supply of convenient Forever Aloe2Go pouches never runs low!
  • All the benefits of Forever Aloe Vera Gel and Forever Pomesteen Power
  • Great tasting drink in one convenient pouch • The “Ultimate Antioxidant Cocktail”
Tsh. 165,660/-

 Call/whats up +255 712 479 905 or +255 766 129 766
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: vinywaji vinavyoongoza duniani kwa afya bora ya mwili wako...... Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top