Ngono si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa
ajili yenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza
kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi ufahamu faida hizi za
kushangaza.
Kwa wanawake, baada ya ngono hufanya uke kupata vilainishi
/lubrication, mzunguko wa damu yake katika mwili, na utanukaji wake,
anasema, hivi vyote ni baada ya kufanya ngono humfanya mtu kujisikia
vizuri na kusaidia kutamani zaidi na hivyo kumwongezea hamu zaidi ya
kusisimua katika suala zima la mapenzi!!
1. Husaidia kuweka mfumo wa kinga yako vizuri
"Watu walio imara katika ngono kuchukua siku chache kuwa wagonjwa," anasema Yvonne K. Fulbright, PhD mtaalam wa afya ya ngono.
Watu wanaofanya mapenzi huwa na kiwango cha juu cha kinga ya mwili wao dhidi ya wadudu, virusi, na wavamizi wengine katika mwili.
Watafiti katika Chuo Kikuu cha Wilkes huko Pennsylvania iligundua kuwa wanafunzi wa chuo ambao walikuwa wakijihusisha na ngono mara moja au mbili kwa wiki walikuwa na kiwango cha juu cha kinga ya mwili ukilinganisha na baadhi ya wanafunzi waliokuwa wamefanya ngono chini ya mara kwa mara.
Kumbuka
Unapaswa bado kufanya mambo mengine ili kwamba kufanya mfumo wako wa kinga na uwe imara, kama vile:
Kula vizuri.
kuwa imara / kufanya mazoezii.
Kupata usingizi wa kutosha.
Kuweka au kufanya chanjo kadiri inavyotakiwa.
Pia katika mapenzi
Matumizi ya kondomu kama hamjuani wote kuhusu hali magonjwa ya zinaa yako baina yenu. Ili kujikinga na afya zenu kwa kujiepusha na hayo magonjwa yanayoweza kushusha kiwango cha kinga ya mwili wako.
2. Inaongeza hamu ya kufanya mapenzi zaidi/ boosts libido
"Kwa kufanya ngono, hufanya ngono kuwa bora na kuboresha hamu yako ya kufanya mapenzi tena na tena ," anasema Lauren Streicher, MD. Yeye ni msaidizi kliniki profesa wa masuala ya uzazi na magonjwa ya wanawake katika Chuo Kikuu cha Northwestern Feinberg katika Shule ya Tiba huko Chicago.
3. huimarisha kibofu cha mkojo kwa Wanawake.
Uimara wa nyonga/pelvic ni muhimu kwa ajili ya kuzuia madhaifu hayo, Kitu ambacho huathiri karibu ya wanawake 30% wakati fulani katika maisha yao. Ngono nzuri ni kama kazi ya kuimarisha misuli ya kiuno au nyonga. Wakati una upofika kileleni/mshindo, kwa sababu ukazaji wa misuli yake, hufanya kuimarisha kwa kibofu.
4. Hupunguza shinikizo la damu.
Utafiti unaonyesha uhusiano kati ya ngono na kupunguza shinikizo la damu, anasema Joseph J. Pinzone, MD. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji na mkurugenzi wa tiba katika chuo cha Amai.
"Kumekuwa na tafiti nyingi," anasema. "Moja ya utafiti wa kihistoria ulibaini kuwa kujamiiana hasa (si Punyeto) hupunguza sytolic shinikizo la damu." na hiyo ndio kipimo cha ya kwanza cha shinikizo la damu.
5. Huhesabika kama moja ya Zoezi
"Ngono ni aina moja kubwa sana ya zoezi," Pinzone anasema. Japokuwa haiwezi kuchukua nafasi kama ya mashine ya kufanyia mazoezi yale ya kukimbia au kutembea huku upo pale pale (treadmill), lakini huwa inakuwa umefanya kitu fulani. Ngono hutumia kalori zipatazo tano kwa dakika, ili hali kalori nne zaidi kuliko kuangalia TV. Inakupa nguvu ya ngumi 1-2: Pia huupa moyo kasi yake kwenda vizuri na pia kutumia misuli mingine mbalimbali kufanya kazi.
Hivyo kuwa busy! Unaweza kuwa na muda wako na ratiba ya kufanya mazoezi mengine mara kwa mara. "fanya mazoezi, kwa uthabiti husaidia kukuuongeza faida," Pinzone anasema.
6. hupunguza hatari ya kupata shambulio la moyo.
Maisha mazuri ya ngono ni mazuri pia kwa moyo wako. Licha ya kuwa njia nzuri ya kuongeza kiwango cha ufanisi wa moyo wako, ngono husaidia kuweka estrogen yako na kiwango cha Testosterone katika uwiano sahihi.
"Wakati mmoja au miongoni mwa hizo homoni unapokuwa chini hupelekea kusababisha kwa kupata kwa matatizo mengine kujitokeza, kama osteoporosis na hata ugonjwa wa moyo," Pinzone anasema.
Kufanya ngono mara nyingi zaidi inaweza kukusaidia. Wakati wa utafiti mmoja hivi, watu waliokuwa wamefanya ngono angalau mara mbili kwa wiki wako vizuri, ingawa kuna uwezekano wa kufa na ugonjwa wa moyo kwa watu ambao hufanya ngono mara chache zaidi.
7. Hupunguza maumivu ya mwili
Kabla ya kufikiria panadol au aspirin, jaribu kufika kileleni au mshindo katika mapenzi.
"kilele au mshindo unaweza kuzuia maumivu," anasema Barry R. Komisaruk, PhD, Profesa, Chuo Kikuu cha New Jersey State.
Inazitoa homoni ambayo husaidia kuongeza maumivu yako kupindukia.
"Imegundulika kuwa kusisimua uke kunaweza kuzuia usugu na maumivu ya mguu, na wanawake wengi wametuambia kuwa sehemu za siri binafsi kusisimua kunaweza kupunguza maumivu ya tumbo la hedhi, na katika baadhi ya kesi hata maumivu kuumwa na kichwa hupungua," Komisaruk anasema.
8. Inaweza kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tezi dume / Prostate Cancer
Ngono inaweza kusaidia kuizuia saratani ya kibofu.
Watu ambao hukojoa mara kwa mara (angalau mara 21 kwa mwezi) huwa wako katika kiwango cha chini cha uwezekano wa kupata kansa ya kibofu wakati wa utafiti moja ulisema, ambayo ulikuwa ukichapishwa katika jarida la American Medical Association.
Haieleweki wazi kuwa ngono ndiyo sababu tu ambayo linaogopwa katika utafiti. Pia kuna mambo Mengi ambayo huathiri zaidi na kuchochea hatari ya kansa. Lakini si ngono tu.
9. Inaboresha hali ya usingizi
Unaweza kukubali kwa haraka zaidi baada ya ngono, na kwa sababu nzuri. "Baada ya kufika kileleni au mshindo, homoni ya prolactin hutolewa, ambayo hujihusisha na hisia ya utulivu na usingizi" baada ya ngono, anasema Sheenie Ambardar, MD Mtaalamu wa magonjwa ya akili huko West Hollywood, Califonia. 10. HUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO
Kuwa karibu na mpenzi wako kunaweza kupunguza mawazo na wasiwasi.
Ambardar anasema kugusana na kukumbatiana inaweza kusababisha kutolewa kwa vitu asilia vya mwili "homoni za kujisikia-vyema." Vile vile hisia za kimapenzi husababisha kutolewa kwa kemikali katika ubongo ambayo huunufaisha ubongo katika mfumo wake mzima. Mapenzi na urafiki wa ndani unaweza kuongeza kujithamini kwako na kuwa na furaha pia, Ambardar anasema.
Si tu inaelezewa katika masuala ya kiafya, lakini ni moja ya furaha.
kwa hisani ya; Manyanda Healthy
0 comments:
Post a Comment