Wakati watu
wanagombania kupanda
mabasi kama
kawaida yao, Bibi mmoja
alipanda basi akapata siti bila
shida
konda akamuuliza, "bibi
mbona unalia??"
bibi akamjibu, "mjukuu
wangu kwa miaka 25
niliyoishi mbagala
sijawahi pata siti kwenye basi lakini
leo
nimepata"
konda akamwambia, "Nini
nyanyuka hapo hiyo siti ni ya
dereva".
NYINGINE HIIYOOOO...
Fun moment:
Chipsi kuku bei gani kama nimekuja na kuku wangu?

NYINGINE HIIYOOOO...
MGONJWA: dokta naomba unisaidie
na tatizo la kusahau hata ukinambia
kitu muda huo Huo nasahau.
DAKTARI: Kwan hilo tatizo
limekuanza Lini?
MGONJWA:Tatizo gani?
0 comments:
Post a Comment