Kuna
kaka mmoja alimchukua dada mmoja na kwenda nae katika kioksi kwa ajili
ya mazungumzo. Walipofika na kukaa tu katika vitu yule kaka akamuuliza
yule dada, “unatumia whatsapp”, yule dada akajibu majestikale kabisa ,
“ndio natumia sasa sana za baridi, nimeachana na bavaria siku hizi..”
0 comments:
Post a Comment