Usagaji
(lesbianism) ni tabia ya wasichana/wanawake kujiridhisha kimapenzi
wenyewe pasi kuhitaji kuridhishwa na mwanaume. Wasichana hawa hutumia
vidole, ulimi na hata sex toys (dildo) kama zana wakati wa kufanya tendo
hilo. Wengi wa wasichana wanaojihusisha na tabia hiyo hufurahia zaid
tendo hilo tena kuliko hata wakifanya na wanaume na hivyo kuwafanya
wajione kwamba hawana sababu ya kuwa na partners wa kiume. Zifuatazo
hapa chini ni sababu ambazo kwa mtazamo wangu ambazo naziona ndio
sababisho la wasichana wengi kujiingiza kwenye tabia hii na hata kuona
ndiyo maisha yao.
Sababu hizo kwa mtazamo wangu ni hizi hapa
• Kuiga kutoka kwa wenzao:
wengi wa wasichana ambao wamejikuta wanatabia hii wameiiga kwa wenzao,
hasa wanapokuwa kwenye eneo ambalo wapo wenyewe kama vile shule hasa za
bweni na maisha ya hosteli. Wasichana wengi ambao walisoma shule za
bweni ama kuish maisha ya hosteli walijikuta wanafundishwa tabia hii na
wenzao ambao tayari walikuwa wameshaanza tabia hizi toka kabla ya kuja
shule.
• Kutaka kujiexplore:
kwa kawaida watoto hupenda kujiexplore viungo vyako, yaani watoto
wakiwa wadogo hutaka kujidadisi wawe wa kiume ama wa kike. Mfano mzuri
watoto wa kiume wanapokuwa pamoja hata wakioga hujikuta wanachezeana
sehem zao za siri hadi uume unasimama, like wise watoto wa kike hupenda
kujidadisi kwa kucunguliana sehem zao za siri. Tabia hii kwa umri wa
udogo huwa haina neon manake khuishia hapo lakini wapo wachache ambao
tabia hii hawaiachi huiendeleza hadi ukubwani na hivyo kuwa ni sababisho
la kujiingiza kwenye same sex plays.
• Hormonal make up:
hii hutokana na jinsi binti alivyzaliwa. Kuna baadhi ya mabianti ambao
wamezaliwa na hormone za kiume na hivyo kujikuta kwamba wanatabia za
kiume. Wengi wa mabinti ambao wana tabia hizi kwenye mashule ya bweni
huwa na desturi ya kuoa na hivyo kuitana mume na mke na wao huwa na
tabia za kukaa kimapenzi mapenzi na hwa wanaowaita waume ama wake.
Wasichana kama hawa huweza kuwashawishi sana wale ambao ni wasichana wa
kawaida hadi kujikuta wanaanza tabia hii ya kusagana wakiwa mashuleni na
wakisha ianza basi huwa siyo rahisi kuiacha mpaka nguvu nying
zimetumika kumfanya aache.
• Raha itokanayo na tendo lenyewe:
wengi wa wasichana /mabinti wanaoshiriki tendo hili huwa wanadai
wanaridhika sana kimapenzi wanapofanya hivi ukilinganisha na wakiwa
wanafanya na wanaume. Kutokana na tabia hii wengi wa wanwake ambao wako
kwenye mahusiano ya kindoa hujikuta wanafanya hii tabia ili tu kuridhika
kwasababu wanapofanya na jinsia ya kiume hawaridhiki.
• Maudhi ya mahusiano ya heterosexual,
maudhi yatokanayo na mahusianoa ya jinsia mbili huwa yanawakinai wengi
wa wasichana/ wanawake na hivyo kugeukia upande wa pili ambapo wanaamini
kwamba hakuna maudhi hayo. Wanajua wazi kwamba wakiwa wenyewe
watabembelezana, na kupeana raha zisizokuwa na maudhi.
• Umbali kutoka walipo wenzi wao:
kuna tabia ambayo imeibuka siku hizi na kwa masiksitiko makubwa sana
inafanywa na wanawake ambao wenzi wao wako mbali nao. Baadhi ya wanawake
ambao waume zao wako mbali nao kwa mauda mrefu wamejikuta wakiwa na
mahusiano na jinsia moja kwa kigezo kwamba hawataki kuwasaliti waume
zao. Na kwamba wanataka waume zao wakirudi wawakute hawajatumika kabisa.
Sikatai usaliti ni mbaya lakini hata huu wa jinsia moja nao ni usaliti
tu.
Ikumbukwe kwamba mahusiano ya jinsia ya aina moja haimaaniash
kwamba hayana maambukizi ya magonjwa kama HIV/AIDS and the like hivyo
yeyote anayefanya hivi kwa kigezo kwamba anataka kujikinga na magonjwa
anajiongopea na kwamba chances za infection huwa kubwa tu.
Pia
ni kujidanganya sana kusema kwamba mapenzi ya jinsia moja ama ya
usagaji ni matamu sana kwani huwa mwanaume akifundishwa kufanya kama
vile ambavyo mwanamke msagaji anaweza kufanya basi mapenzi haya yatakuwa
na raha kama kawaida. Haina maana kwamba mwanamke tu ndio anayeweza
kutumia ulimi wake ama kidole chake ili kumpatia mwenzie raha, ila hata
mwanaume pia anaweza kutumia vitu hivi na hivyo kumpatia raha mwenzie.
Pia
tabia hii ya usagaji kwa wale ambao wanaifanya hasa pale waume zao
wanapokuwa safarini, eti kisa wanataka waume wakirudi wawakute
hawajazini wanajidaganya sana kwani kusagana na kuzini kwa kawaida kote
ni kuzini hata kama hukuingiziwa kitu ndani ya uke. Kinacho determine
kutokuwa mwaminifu ni kitendo cha usaliti iwe umezini na mtu mume ama
mwanamke mwenzio. Hivyo usidanganye nafsi yako kwamba huwez kuzini na
mwanaume kisa utamsaliti mumeo, ukasahau kwamba hata na huyo mwanamke
mwenzio pia ni usaliti.
Tuesday, 14 October 2014
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment