WAPENZI na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza
safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa
hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka
iliyopitiliza!
Mwanaume
atamkumbatia na kumbusu mwanamke kwa muda mfupi na kabla hata hamasa ya
mapenzi ya mwanamke ahaijashika hatama, atamwingilia na ndani ya dakika
sekunde ama dakika zisizozidi 3, mwanamme hufika mshindo.
Katika
hali ya kusikitisha baada ya mwanaume kujitosheleza hujongea pembeni
bila kujali mwenza wake hajafika mwisho wa safari hali inayosababisha
mwanamke kupoteza hamu ya tendo endapo endapo tabia hiyo ya mwanaume
itaendelea.
Kunahatua nne muhimu ambazo wapendanao wakizishika na
kuzitekeleza ipasavyo basi watafanikiwa kujitosheleza kila wanapokutana
na kwa hakika watakuwa miongoni mwa watu wachache wanaofurahia faragha
kila wakutanapo!
Hatua ya kwanza ni kusameheana:
Wanandoa
wengi hushindwa kupata raha ya mlo wa usiku kutokana na kushindwa
kumaliza tofauti zao kabla ya giza halijaingia, mgogoro wowote baina ya
wapendanao ni lazima umalizwe kabla ya kukutana kwa ajili ya mlo wa
usiku. Hii husaidia kuondoa kinyongo miongoni mwao na kuwafanya mioyo
yao igubikwe na upendo ambao humfanya ahamasike kunako majambo!
Hivyo
basi endapo unataka kufurahia mambo fulani hakikisha unamaliza tofauti,
ombaneni msamaha na samehaneni kwa dhati kwani kwa kufanya hivyo
kutawasaidia muwapo faragha kufurahia kile mnachokifanya kwa kuwa
mtakuwa mmemalzia tofauti zenu.
Hatua ya pili ni mchezo ya mahaba:
Mashamsham
hunoga na kupamba moto kiasi cha kumfanya yoyote aliye kwenye uwanya wa
raha kusahau kwa muda shida na matatizo yanayomuandama pale anapokutana
an mtu anayeweza kumpagawisha kwa michezo ya mahaba kabla ya kuianza
safari yenyewe!
Michezo
hii husaidia kuamzsha hamasa na muhemko baina ya wapendanao, hivyo ili
wapendanao waweze kufika mwisho wa safari pamoja na kila mmoja alidhike
na udereva wa mwenzake uliowafikisha safari yao lazima watumiye muda
wakutosha katika michozo yakimahaba!
Hata hivyo kila mmoja wenu
anapaswa kuujua mwili wa mwenza wake. Mwili wa mwanaume ni rahisi
kuuelewa kwani una sehemu moja kuu ambayo ni kama kiini cha muhemko na
msisimko wa mapenzi. Sehemu hiyo ni uume. Hivyo endapo mwanamke yoyote
atatumia muda wakutosha kuhangaika na sehemu hiyo basi mambo huwa safi
kwa upande wa mwanaume.
Mwili wa mwanamke una shughuli pevu
kubaini sehemu zenye ambazo huamsha hisia za mapenzi na ndiyo maana
wanaume wengi hushindwa kuwafikisha mwisho wa safari wapenzi wao. Kiini
cha hisia za mapenzi kwa mwanamke ziko kwenye kipegere G (namaanisha
critoris wadu, haya ni mambo ya infenizimu tu). Kipegere G kipo nje ya
uke ambapo wataalamu hudai kuwa kipo sentimita 4 kutioka ukeni.
Wanaume
wengi wanaelewa hili lakini walio wengi wamegubikwa na imani potofu
kuwa, kwa kuingiza kidole ukeni watafanikiwa kuinua hamasa ya za wenza
wao kutaka kuanzisha safari jambo ambalo si kweli, kwani wanawake wengi
hujisikia vibaya kuingizwa vidole ukeni kutokana na ukweli kwamba kucha
zinabeba uchafu na bakteria wengi ambao huwasababishia kupata fangasi!
Hivyo
basi, endapo wewe ni miongoni mwa wanaume waliokuwa wakiaminin dhana
hii nataka nikujulishe kuwa, ukitaka kumpa msisimko uliotukuka mwenza
wako usiangaike kuingiza kidole chote ukeni badala yake hakikisha
unatumia kidole chako (hakikisha si kikavu) kucheza na sehemu ya nje ya
uke ambapo utakutana na kipegere G na lips za ndani. Hata hivyo
usisahamu kuhangaika na uke pia lakini hasa shughulika na sehemu za nje!
MUHIMU KUJUA: Mwanaume
huahamasika kwa sekunde kadhaa lakini mwanamke humchukua takriban
dakika 20 kuweza kuamsha hisia zake na kumfanya awe tayari kwa kuianza
safari! Hivyo, mwanaume mwenye busara yaani asiye mbinafsi huakikisha
anatumia muda wakutosha kumuuanda mwenza wake kabla ya kuanza safari!
Hivyo mwanaume anapaswa kunza michezo ya mahaba kwa kuzingatia hatua
tatu muhimu ambazo ni:-
Sehemu ya juu:
Wanume
wengi kutokana ana haraka zao hukimbilia sehemu ya chini ya mwili wa
mwanamke yaani kunako na kuanza ama kupapasa kwa kidole chake ama ulimi
na baada ya sekunde chache huanza kumwingilia mwanamke, lakini mwanaume
mwenye kumjali ampendaye na mwenye nia hasa yakumfikisha kwenye kilele
cha raha huwa hana papara huhakikisha anamhagi na kumpiga mabusu sehemu
ya juu ya mwili wake yaani mdomoni, shingoni, kwenye matiti, chuchu etc.
Hata
hivyo, si wanawake wote wako sawa, kuna amabo hufurahia kutomaswa
maziwa yao huku wengine wakichukizwa kutokana na sababu mbalimbali kwa
mfano kama mwanaume ni mtu wamitungi ama mvuta sigara mara nyingi kinywa
chake hutoa harufu mbaya hivyo huwa vigumu kwa mwanamke asiyependezewa
na matumizi ya vitu hivyo kufurahia kupigwa denda!
Kimsingi
mwanamke kama kweli unampenda mpenzi wako na unataka ufurahie majambozi
anayokupa hakikisha unakuwa muwazi kwa kuanza na kumuonyesha sehemu
zinazokupa hamasa ya kufanya mapenzi, si lazima ushike mkono wake na
kuupeleka kunako hiyo sehemu!
Hakikisha
pindi mwanaume anapokugusa sehemu inayokusisimua unamwonyesha wazi kuwa
hapo unasikia utamu yaani kama miguno ilikuwa haitoki hakikisha inaanza
toka, kama pumzi zilikuwa zatoka kawaida basi zianze toka isivyo
kawaida, nachomaanisha hapa ni kuwa unapaswa kuonyesha umepagawa kwa
raha unayopata basi kwa mwanaume aliye kamili hatasita kuishughulikia
kikamilifu sehemu hiyo!
Sehemu ya chini:
Baada
ya kumtomasa kiasi cha kutosha sehemu ya juu ya mwanamke, mwanamke
huhitaji kutomaswa sehemu ya chini na hapa ndipo ambapo unaweza kuhisi
anataka kuingilia mana huanza ama kujishikasiika sehemu za chini ama
hukupeleka maeneo yake nyeti upate kumwingilia kwani huwa amehamasika na
ilim kujua kama amaehamasika basi uke wake huwa unamajimaji ambayo
hutoka kwa ajili ya kulainisha nyia ya kupita bwanamkubwa yaani uume.
Hata
hivyo, ili mchezo uwe mtamu mwanaume anapaswa kuhakikisha anatumia
dakika kadhaa kuuchezea uke na kufuatia kinena. Hapa ieleweke kuwa kuna
wanawake baada ya mizuka kuwapanda hutokwa na majimaji mengi sehemu zao
za siri hivyo endapo mwanaume ukikutana na hali hiyo usishutuke jua
mzuka imempanda mpenzi wako tu na si vinginevyo!
Katika
kuchezea sehemu zake za siri mwanaume anapaswa kujua kuwa kuna wanake
wanapenda chezewa kinena pekee na wengine hupenda mwanaume atumie ulimi
ama akidole chake (kisiwe kikavu) kuingiza ukeni huku kidole kingine
kikitomasa kinena hali inayomsisimua mwanamke. Hivyo mwanamke anapaswa
kuwa muwazi nini anapenda kufanyiwa!
Katika kipindi hiki mwanamke
naye anatakiwa kutoa ushirikianao wa miguno na viuno vya hapa na pale
kuashiria anapata raha na asisahau mptomasa mwanaume, lakini ikumbukwe
kuwa mwanaume ana sehemu kuu moja inayomtia wazimu ambayo ni uume wake
hivyo ni rahisi kwa mwanaume kufika mshindo hata kabla ya tendon a hapo
ndipo tatizo huibuka kwani wengine baada ya tendo moja huwa hawana uwezo
wakurudia mzunguko wa pili!
Nini
mwanaume anapashwa kufanya sasa ili kuhakikisha hamalizi mzungoko
haraka? Anapaswa kuwa muwazi kwa mwenza wake endapo mwenza wake atakuwa
anamshika sehemu ambayo inamnyegesha sana na kumfanya ajisikie kumaliza
biashara basi amueleze wazi kuwa aiache sehemu hiyo kwa muda ili uweze
kudumu kunako majambozi!!
Hata siku moja msifanye mahaba kimya
kimya! Simaanishi mpige mikelele hadi iwe kero kwa majirani na nk,
elezenaneni kwa sauti za mahaba nini kila mmoja wenu anapenda mwenzi
wake afanyiwe na mwenza wake.
Hatua ya tatu:
Kuingiliana kimwili
Mwanaume
anapaswa kuahkikisha amasa za mapenzi za mwanamke zimeamka kabla ya
kumwingilia. Wanaume wengi kutokana na papara hujikuta wanawaingilia
wenza wao hata kabla hawajahamasika na hatimaye kumaliza tendo pasipo
kuwafikisha kileleni na hili ni tatizo la kawaida kwa wapenzi
wanaokutana kwa mara ya kwanza na has amwanamke akiwa na zile nataka
sitaki yani atasumbuana na mwanaume weeeee na hatimaye hadi dume
lifanikiwe kumwingilia kimwili inakuwa kama mbakano tu!
Hivyo
basi, mwanaume unapaswa kujua kweli mpenzi wako yuko tayari kwa tendo la
ndoa na utajua kwa kungalia kwanza mashavu ya uke wake kama yamekakamaa
na kuongezeka ukubwa huku kinembe chake kikionyesha kukaza na mwanamke
akifikia hali hii basi mwanaume huweza kuingiza uuume wake ambao
umesimama kiurahisi kwani kuta za uke zitakuwa na ute unaoteleza huku
uume nao ukiwa na ute unaotoka sehemu ya mbele kabisa hali inayowafanya
wapendanao kufurahia tendo kwani hawataumizana !.
Monday, 13 October 2014
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment