MABO 7 MUHIMU KUFANYA
UWE NA AFYA BORA
Yafuatayo ni baadhi ya mambo unayoweza kuyafanya ili kuwa na afya bora
katika mwaka huu wa 2013. kabla sijaendelea mbele sana, naomba niweke
wazi kwamba afya bora haihusu kula vizuri na mazoezi peke yake bali pia
fikra chanya(positive attitude). Kuna umuhimu wa kuhakikisha kwamba siku
zote unakuwa na mawazo chanya na pia kuwa karibu zaidi na watu wenye
mawazo chanya.
Kunywa Maji kwa wingi-
Bila shaka unakumbuka msemo “Maji ni Uhai”.Hiyo ni kweli kabisa maji
ni uhai sio tu kwa mazingira yetu na dunia kwa ujumla bali pia kwa afya
au miili yetu. Maji ni kitu muhimu sana kwa afya zetu. Asilimia 60% ya
miili yetu imetengenezwa au imesheheni maji. Maji yanahitajika kwa ajili
ya kuondoa takataka au vitu visivyofaa kutoka mwilini, maji ndio hubeba
virutubisho na oxygen.
Kiasi cha maji anachohitaji mtu kinategemea na mambo kadhaa kama vile
unyevu(humidity) wa mahali ulipo, shughuli zinazohusisha mwili
anazozifanya mtu na pia uzito wa mwili. Pamoja na hayo,kwa wastani miili
yetu inahitaji lita 2 na nusu mpaka 3 za maji.Vyakula tunavyokula
huchangia kama asimilia 20% za maji katika miili yetu. Kwa hiyo
tunahitaji kunywa maji kiasi cha lita 2 mpaka lita 2.4 au glasi 8-9 za
maji kwa siku.
Njia rahisi ya kujua kama mwili wako una maji ya kutosha ni katika
kuangalia mkojo. Mkojo wako unatakiwa kutokuwa na rangi(colorless) au
kuwa wa njano kidoogo. Kinyume cha hapo ni ishara kwamba hauna maji ya
kutosha mwilini. Njia nyingine kutambua ni pamoja na kukaukwa na
midomo(lips) na hata ulimi na pia kupata kiasi kiduchu cha mkojo.
Pata Usingizi wa Kutosha:
Unakumbuka tulipokuwa wadogo wazazi wetu walisisitiza sana kwamba
twende tukalale mapema ili tukue? Bila shaka walikuwa wanajua kwamba
usingizi ni sehemu muhimu sana katika afya. Ukiachilia mbali faida za
usingizi kwa ajili ya afya za akili/ubongo wetu,usingizi au mapumziko ya
kutosha ni muhimu kwa miili.Afya njema huenda sambamba na mapumziko.Ni
wakati wa kuupa mwili nafasi ya kujijenga,kujiongezea nguvu na muhimu
zaidi kuhakikisha kwamba tunakuwa na akili timamu. Pia ukosefu wa
usingizi ni chanzo cha kuzeeka mapema.
Fanya Mazoezi-
Hili linaweza kupita bila maelezo ya ziada. Mazoezi ni muhimu sana
kwa afya bora. Fanya mazoezi angalau mara tatu katika wiki. Jipatie muda
wa kutembea japo kwa dakika 30. Kama inawezekana nenda Gym, badala ya
kupanda lifti pale kazini kwako au mitaani, tumia ngazi za
kawaida.Egesha gari lako mbali kidogo na unapokwenda ili upate nafasi ya
kutembea nk. Muhimu zaidi ni kuchagua aina ya mazoezi unayoipendelea.
Mazoezi hayatakiwi kuwa adhabu.
Faida za mazoezi ni pamoja na kujiepusha na magonjwa mbalimbali,
kupunguza unene(bila shaka unajua kwamba unene kupindukia sio afya bali
ni ugonjwa na sababu kubwa ya maradhi mengine)
.
Kula Matunda Kwa Wingi-
Matunda ni chanzo kizuri sana cha madini na vitamins ambazo miili
yetu inahitaji sana kwa ajili ya afya bora. Unajua kwamba machungwa,kwa
mfano, yana faida kubwa zaidi kiafya kuliko vidonge vya Vitamin C
unavyobugia kila leo? Aina mbalimbali za matunda ambayo yana virutubishi
vingi zaidi kiafya ni Parachichi(Avocado), apple, matikiti
maji(cantaloupe),Zabibu(Grapefruit), Kiwi,Guava,mapapai, machungwa,
strawberries nk.
Kula mboga za majani-
Kama ilivyo kwa matunda,mboga za majani(vegetables) ni muhimu sana
kwa afya zetu. Wataalamu wa afya wanashauri kwamba tule aina 5 mpaka 9
za mboga za majani na matunda.Jitahidi kupata angalau zaidi ya aina 5 za
mboga za majani na matunda.
Punguza Kula Vyakula vya Makopo-
Kutokana na jinsi dunia inavyozidi kwenda mbio,watu wengi huwa
tunakosa muda wa kupika.Matokeo yake tunakimbilia kwenye vyakula vya
kwenye makopo ambavyo ndivyo vimejaa katika maduka na ma-supermarket.
Jitahidi kuviepuka vyakula hivyo kwa kadri unavyoweza.Mara nyingi
vyakula vya makopo huwa na ingredients ambazo hazifai kwa afya zetu.Kwa
mfano,vingi miongoni mwa vyakula hivyo huwa na chumvi nyingi kitu
ambacho ni chanzo cha High Blood Pressure na maradhi ya moyo.
Unaposhindwa kabisa kujizuia kununua vyakula hivyo vya makopo jaribu
kuangalia ambavyo havina sukari au chumvi.
Jipende- Kama nilivyodokeza hapo mwanzo,afya bora huenda sambamba na
afya ya akili/ubongo.Njia mojawapo ya kupata afya hiyo ni pamoja na
kujipenda.Pengine unajiuliza,kuna mtu ambaye hajipendi? Ukweli ni kwamba
pengine ni kweli kwamba hakuna mtu ambaye hajipendi.Tofauti inakuja
pale mtu anapofanya vitu ambavyo ni kinyume kabisa na mapenzi ya mwili.
Mfano, uvutaji sigara, unywaji pombe kupindukia, kutojisafisha mwili
wako kwa mfano kuoga, kupiga mswaki na pia kupumzika nk.Hizo zote ni
tabia ambazo zinaweza kuonyesha jinsi ambavyo hujipendi au huupendi
mwili wako.
Make Money at : http://bit.ly/copy_win

MABO 7 MUHIMU KUFANYA UWE NA AFYA BORA

0 comments:
Post a Comment